Mtunzi: Joseph C. Shomaly
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph C. Shomaly
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Martin Munywoki
Umepakuliwa mara 3,441 | Umetazamwa mara 6,909
Download NotaSilegei Nakaza Mwendo
1. Naimbaimba nikikusifu Mungu wangu
Nayahubiri matendo yako Mungu wangu, mimi
Nakaza mwendo ili nifike mbinguni
(Ili) Nimuone Mungu pia nao malaika (Mimi)
{ Silegei, mimi, Silegei, (Silegei)
Silegei ninakaza mwendo } *2
2. Dunia hii yahuzunisha Mungu wangu
Nahangaika kiumbe wako Mungu wangu, sasa
3. Mtu ni nani Bwana wewe umkumbuke
Na binadamu kwanza yeye umwangazie, sasa
4. Nipe uwezo nivishinde na vishawishi
Niurudie uso wako ee Mungu wangu, sasa