Mtunzi: Nicolaus Chotamasege
> Mfahamu Zaidi Nicolaus Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicolaus Chotamasege
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiSimama ndugu tukatoe tukatoe sadaka zetu kwake Mungu wetu x2hima hima simama ndugu tukatoe ni mali yake kwa moyo radhi na kwa upendo tukamtoleex2