Ingia / Jisajili

Siwaiti Tena Watumwa

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 267 | Umetazamwa mara 1,108

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SIWAITI TENA WATUMWA 1. Kama vile Baba alivyonipenda mimi nami nilivyowapenda ninyi kaeni katika pendo langu siwaiti tena watumwa kwa maana mtumwa hajui atendalo Bwana wake*2 lakini nimewaita rafiki kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu*2 2. Sio ninyi mlioni chagua mimi bali ni mimi kawachagua nendeni mkazae matunda 3. Na matunda yenu ninyi yapate kuzaa kwamba lolote mwombalo Baba kwa jina langu atawapa 4. Hayo yote ambayo mi nimewambia ilifuraha yangu iwe ndani yenu na furaha yenu itimizwe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa