Maneno ya wimbo
                SAFARI YA IMANI
1.	Tumepandamilimanamabondetukaangukatukaumia
tukaamkanakuendelealakini safari hiiningumu
hivyotumeonabilawewehatuwezikitu Baba 
Tuongozekwenye safari hiiya Imani, nenanasiutuambieyanayojiri, 
utuangaziekwenyehii safari, utuangazietufikesalama *2
2.	Tumekuwanusunusukwanafsitukokatikapandezote
misimamonatabiazanenatofautinatukiriyo
hivyotumeonabilawewehatuwezikitu Baba 
3.	Na shetanihalaliyukokaziyeyeavunaasipopanda
anatutakasisiwaaminiatupotosheatwangamize
hivyotumeonabilawewehatuwezikitu Baba
4.	Chombochetukinazamamajinikunaupepowogawazidi
fikrazetukwelizatupotoshasiwadhaifutuwakosefu
hivyotumeonabilawewehatuwezikitu Baba
5.	Twakuaminiweweunawezaulituumbakwamfanowako
hivyosisiniwanawako Baba twaliliatusaidie
maanatumeonabilawewehatuwezikitu Baba
            
                                    
                Nyimbo nyingine za mtunzi huyu