Maneno ya wimbo
                MKIWA NA IMANI KIASI CHA PUJE YA HARADALI
Mkiwanaimanikiasi cha pujeyaharadalimtauambiamlimahuuondokahapauendekulenaoutaondokawalahalitakuwakonenolisilowezekanakwenu *2
1.	Kwa yaleupitiayonduguusifemoyoiwekeimaniyakoyoteyatapita
kumbukawa Israeli walimwaminiMungunayeyekawaongozampakacanaani
2.	Yaduniayachanganyayatudanganyasanayakwambasitunawezakwauwezowetu
ukwelinikwambanduguMungundiyemwezahakunakilichokuwabilayeyekuwa
3.	Kwa yoteunayotendakuzaimaniyakomtumainie Bwana utafanikiwa
hakunajamborahisihumuulimwenguniilatwamwaminiMungualonauwezo
4.	Hakikaya mambo yotetunayotarajianayasiyoonekanahiyoniimani
tusipungukiwendugunaimaniyakwelikwakuwaimanindiyochanzo cha baraka
            
                                    
                Nyimbo nyingine za mtunzi huyu