Ingia / Jisajili

TWAKUSHURU BABA

Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia

Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya

Umepakiwa na: FINIAS MKULIA

Umepakuliwa mara 846 | Umetazamwa mara 2,448

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Twakushukuru Baba muumba wa mbingu na nchi,// kutulinda kila siku, wiki mwezi na miaka, twashukuru Baba asante//

MASHAIRI

  1. Mwaka na mambo mapya tujitathimini wakristu kama kweli tuliishi vyema.
  2. Kuona mwaka ni upendo wake yeye ajuaye kesho yetu ni vema tumshukuru.
  3. Jiulize umempa nini Bwana Mungu wetu, hata akulinde hadi umeona Mwaka.
  4. Ndugu yangu fanya uamuzi wa kumrudia Mungu azidi kukulinda.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa