Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: FINIAS MKULIA
Umepakuliwa mara 629 | Umetazamwa mara 1,731
Download Nota Download MidiKama watoto wachanga waliozaliwa sasa,yatamanini maziwa yaakili yasioghosiwa.
1.Mtukuzeni Mungu ndiya shime yetu,Mshangilieni Mungu wa Yakobo.
2.Pazeni sauti pigeni matari,kinanda chenye sauti nzuri na kinubi.