Ingia / Jisajili

Sogea Meza Yake

Mtunzi: E. Kalluh
> Tazama Nyimbo nyingine za E. Kalluh

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Shanel Komba

Umepakuliwa mara 958 | Umetazamwa mara 2,742

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sogea meza yake takatifu kwa moyo safi kampokee Yesu atakujaza neema zake

1.       Enyi wakristu tumwabudu Yesu huo ni mwili wa mwenyewe Yesu Kristu ni damu yake Bwana Yesu Kristu

2.       Ee Yesu mwema tubariki sote utuokoe tuopoe hatarini Ee Yesu wangu nakutumaini

3.       Nifiche ndani yako Yesu wangu ili nionje pendo lako Yesu wangu mwili na roho ninakupa wewe

4.       Sadiki mkristu upate wokovu ndiyo ahadi ya mwenyewe Yesu Kristu mwisho mbinguni atakupokea


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa