Ingia / Jisajili

Tabu ya Mikono Yako - II

Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 187 | Umetazamwa mara 634

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tabu ya mikono yako tabu ya mikono yako tabu ya mikono yako hakika utaila x2 1. Heri mtu yule amchaye Bwana aendaye katika njia zake, heri yao wale wamchao Bwana utakuwa mwenye heri na baraka tele. 2. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao vyumbani mwa nyumba yakowanao kama miche ya mizeituni wakiizunguka meza yako. 3. Tazama atabarikiwa yule amchaye Bwana, Bwana akubariki toka Sayuni uone uheri wa Yerusalemusiku siku zote za maisha yako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa