Ingia / Jisajili

Tafakari Rohoni

Mtunzi: Hillary. B. Bwagidi
> Tazama Nyimbo nyingine za Hillary. B. Bwagidi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Lawrence Nyansago

Umepakuliwa mara 1,573 | Umetazamwa mara 3,061

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

TAFAKARI ROHONI

Nirudieni mimi kwa mioyo yenu nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote || x2 kwa kufunga na kwakulia na kwa kuomboleza rarueni mioyo yenu wala si mavazi yenu ||x2

  1. Fanyeni fanyeni Mabadiliko moyoni, wala siyo kurarua mavazi yenu
  2. Fanyeni fanyeni Mabadiliko moyoni, kwa imani na matendo jipeni moyo
  3. Fanyeni fanyeni Mabadiliko moyoni, siku zote za uhai wenu duniani

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa