Mtunzi: Joseph Rimisho
                     
 > Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho                 
Makundi Nyimbo: Epifania | Majilio
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 7,545 | Umetazamwa mara 13,128
Download Nota Download MidiKiitikio
(Tazama anakuja mtawala Bwana, mwenye ufalme mkononi mwake na (uweza na enzi x2) na enzi. x2)
Mashairi
1. Ee Mungu na umpe mfalme- mfalme hukumu ya yake, na umpe mwana wa mfalme haki yako.
2. Na awe na enzi kutoka bahari hata bahari, wakaao jangwani na wainame mbele yako.