Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 3,071 | Umetazamwa mara 7,279
Download Nota Download MidiKiitikio
Tembea nami Bwana Yesu usiniache njiani, na mwisho wasafari yangu nifike kwa usalama,
Maana wewe ndiwe uzima na usalama wangu, usiniache usinitupe ewe mwokozi wangu.
Mashairi
1.Nami nitembee kwa usalama nikusifu wewe Bwana, katika nchi za walio hai nikusifu milele.
2.Katika shida zangu wewe ni msaada wa karibu, sitaziacha njia zako naomba usiniache.
3.Sitazisahau fadhili zako katika maisha yangu, milele yote nitakusifu kwa nyimbo za furaha.