Ingia / Jisajili

Sadaka Yetu

Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO

Umepakuliwa mara 3,969 | Umetazamwa mara 9,301

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Sadaka yetu mbele yako Bwana Mungu sadaka yetu ikupendeze. x2

Mashairi:

  1. Kwa wingi wa fadhili zako Bwana
    Twatoa shukurani zetu kwako pokea sadaka yetu leo hii.
     
  2. Zijaze ghala zetu zifurike
    Tuone wema wako maishani pokea sadaka yetu leo hii.
     
  3. Bariki na kanisa lako Bwana
    Tupate na amani duniani pokea sadaka yetu leo hii.
     
  4. Twaomba ewe Bwana usikie
    Ujibu na maombi yetu kwako pokea sadaka yetu leo hii.
     
  5. Sadaka yetu kwako ipendeze
    Takasa nyonyo zetu ziwe safi pokea sadaka yetu leo hii.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa