Ingia / Jisajili

EE BWANA UTUONYESHE REHEMA ZAKO Zaburi 84

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 851 | Umetazamwa mara 2,445

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE BWANA UTUONYESHE REHEMA ZAKO. Kiitikio: Ee Bwana, utuonyeshe rehema zako Bwana(Mungu), na utupatie wokovu wako. 1. Na nisikie atakavyosema Bwana Mungu, nayo amani atawajalia watu wake, na kwa hakika wokovu wake u karibu, u karibu nao watu wote wamchao. 2. Uaminifu na fadhili zimekutanika, kweli amani nayo haki zimebusiana, uaminifu utachipuka kwenye nchi yote, uadilifu utashuka toka mbinguni. 3.Mungu mwenyezi atatuletea mema yote, na nchi yetu itatoa zao lake kwetu, uadilifu utamtangulia Mungu nazo hatua zitafanywa kuwa njia.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa