Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 303 | Umetazamwa mara 1,594
Download Nota Download MidiKiitikio;
Tembeeni katika bwana,nyendo zenu ziwe na ukamilifu x2
Mashairi;
1.Ndugu yangu umkaribie bwana, utende matendo yaliyo mazuri.
2.Bwana yesu ndiye ngome iliyo kuu,tuje kwake ili tukombolewe.
3.Twende sote tukalitangaze jina,jina lake bwana wetu yesu kristu.