Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 412 | Umetazamwa mara 1,825
Download Nota Download MidiWAIPELEKA ROHO
KIITIKIO:Waipeleka roho yako, nawe waufanya upya uso wa nchi X 2.
MASHAIRI:
1.Ee nafsi yangu umhimidi Bwana, wewe Bwana Mungu wangu umejifanya mkuu sana,umejivika Adhama na heshima.
2.Waiondoa pumzi yao wanakufa,nakuyarudia mavumbi yao waipeleka roho yako,nawe waufanya upya uso wa nchi.
3.Utukufu wa Bwana na udumu,Bwana na ayafurahie matendo yake kutafakari kwangu kuwe,kutamu kwake mimi nitamfurahia Bwana.