Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 2,946 | Umetazamwa mara 8,579
Download Nota Download MidiKIITIKIO: Lala kitoto cha mbingu lala sinzia malaika watakutunzia X2
MASHAIRI
1.Lala kitoto kitoto cha mbingu lala sinzia,malaika wake Mungu watakutunzia.
2.Lala kitoto kitoto cha mbingu uliye mkombozi,mkombozi wetu lala mwana wa Mungu.
3.Lala kitoto kitoto cha mbingu masiha na mwokozi,wetu lala mwana lala mwana wa Mungu.
4.Maria na Yoseph wanamtunza mtoto,wanamtunza mtoto lala mwana wa mungu.