Ingia / Jisajili

Tu Watu Wake

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 995 | Umetazamwa mara 1,753

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tu watu wake na kondoo wa malisho yake tu watu wake na kondoo wa malisho yake X2

1. Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote mtumikieni mtumikieni kwa furaha kwa furaha njoni mbele zake mbele zake kwa kuimba

2. Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake tu watu wake na kondoo wa malisho yake

3. Kwa kuwa Bwana Bwana ndiye mwema rehema zake rehema zake ni za milele na uaminifu wake vizazi na vizazi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa