Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe Wavipenda

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 137 | Umetazamwa mara 171

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Jumatano ya Majivu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana wewe wavipenda vitu vyote vilivyopo wala hukichukii kitu chochote ulichokiumba X2

1. Unawasamehe watu dhambi zao ili wapate kutubu na kuwahurumia

2. Kwa kuwa wewe ndiwe Bwana Mungu wetu unaviachilia vyote kwa kuwa ni vyako

3. Wewe unawahurumia wote maana unao uwezo wa kutenda mambo yote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa