Ingia / Jisajili

Huyu Ni Mwanangu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,011 | Umetazamwa mara 2,474

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Huyu ni mwanangu mpendwa wangu ninayependezwa naye msikieni yeye X2

  1. Na tazama sauti ikatoka katika wingu jeupe ikasema huyu ni mwanangu mpendwa wangu ninayependezwa naye
  2. Waliposikia walianguka wakaogopa sana Yesu akawagusa akasema inukeni wala msiogope

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa