Ingia / Jisajili

Tufurahi Sote (Watakatifu Wote}

Mtunzi: Fr. Gregory F. Kayeta
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Gregory F. Kayeta

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Watakatifu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Watakatifu Wote

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tufurahi sote katika Bwana tunapoadhimisha sikukuu kwa heshima ya Watakatifu wote malaika nao wanaishangilia sikukuu hii na kumhimidi Mwana wa Mungu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa