Ingia / Jisajili

TUHURUMIE TUWAKOSEFU-UTUKUFU

Mtunzi: Stephen Wambua Mutua
> Mfahamu Zaidi Stephen Wambua Mutua
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Wambua Mutua

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Stephen Wambua Mutua

Umepakuliwa mara 270 | Umetazamwa mara 859

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TUHURUMIE TUWAKOSETU / UTUKUFU (Key B Major) (Bwana tuhurumie ee, tuhurumie) x2 (Bwana tuhurumie, tuwakosefu) x2 (Kristu tuhurumie ee, tuhurumie) x2 (Kristu tuhurumie, tuwakosefu) x2 (Bwana tuhurumie ee, tuhurumie) x2 (Bwana tuhurumie, tuwakosefu) x2 UTUKUFU Chorus (Utukufu kwa Mungu, juu, juu mbinguni) x2, na amani duniani, kwa watu wenye, kwa hao watu wenye, mapenzi Mashairi 1. Twakuheshimu, pia tunakusifu, twakuabudu, twakutukuza Bwana 2. Twakushukuru, Mfalme wa mbunguni, Mwana pekee, Mwana wake Baba 3. Uondoaye, makossa yetu Bwana, tuhurumie, tusikilize Bwana 4. Kuume kwake, Baba unapoketi, Mtakatifu, Mkuu tuhurumie 5. Roho Mtakati-fu pamoja nawe, ndani yake, Baba unatukuzwa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa