Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 6,172 | Umetazamwa mara 11,907
Download Nota Download MidiTujongee mbele ya meza yake Bwana tukale chakula cha uzima tukale chakula cha uzima Bwana ametuandalia x2
1. Chakula kiko tayari Bwana ametuandalia anatukaribisha twende mezani kwa chakula cha uzima
2. Hiki ni chakula kweli kinashibisha roho zetu chakula hiki ni mwili na damu ya Bwana wetu Yesu
3. Hiki ni chakula kweli kinacho toka mbinguni atakayekula chakula hiki ataishi milele
4. Damu yangu ni kinywaji kweli Yesu ametuandalia atakayekunywa damu yangu anao uzima wa milele