Ingia / Jisajili

Ee Bwana Fadhili Zako

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 18,732 | Umetazamwa mara 27,132

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana, ee Bwana fadhili zako zikae nasi x 2
Kama vile tulivyokungoja wewe Bwana, kungoja wewe Bwana wewe Bwana x 2

  1. Kwa kuwa neno la Bwana, neno la Bwana ni la adili, na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu.
     
  2. Hupenda haki na hukumu, hupenda haki na hukumu, nchi imejaa fadhili za Bwana.
     
  3. Tazama jicho la Bwana li kwao wamchao, wazingojeao fadhili, fadhili zake.
     
  4. Yeye huwaponya nafsi zao, na mauti na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa. 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa