Ingia / Jisajili

Nimekukimbilia Bwana

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,574 | Umetazamwa mara 16,206

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nimekukimbilia wewe, wewe Bwana wangu, nisiaibike milele (milele) Nisiaibike melele, nisiaibike milele x 2

  1. Nimekukimbilia wewe, nimekukimbilia wewe, Bwana nisiaibike milele, kwa haki yako uniponye unitegee sikio lako uniokoe hima.
     
  2. Uwe kwangu mwamba wa nguvu, nyumba yenye maboma ya kuniokoa. Ndiwe genge langu na ngome yangu, kwa ajili ya jina lako uniongoze unichunge.
     
  3. Umwangaze mtumishi wako, kwa nuru ya uso wako uniokoe kwa ajili ya fadhili zako, iweni hodari, mpige moyo konde, ninyi nyote mnaomngoja, mnaongoja Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Godfrey Jan 24, 2018
zzzzz

Toa Maoni yako hapa