Ingia / Jisajili

Tukamtolee Mungu

Mtunzi: Joseph J Mitepa
> Mfahamu Zaidi Joseph J Mitepa
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph J Mitepa

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Shukrani

Umepakiwa na: Joseph Mitepa

Umepakuliwa mara 262 | Umetazamwa mara 714

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ni wakati mzuri wa kumtolea Bwana hivyo ndugu simama haya twende/ tukamtolee Mungu wetu tulichoandaa ,tukamshukuru kwa uhai na baraka zake ,tukamshukuru kwa neema zake / 1.peleka maombi yako kwake na shida zako,katoe vipaji vyako ndugu kwa Bwana,mapato uliyopata ndugu katoe/ 2.Ahaa! Na fedha ukatoe ,E hee na zaka ukatoe,ulipopunguza Bwana Mungu atakujazia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa