Ingia / Jisajili

Tuliona Nyota Yake

Mtunzi: Alfred L. Mchele
> Mfahamu Zaidi Alfred L. Mchele
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred L. Mchele

Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya | Mwanzo

Umepakiwa na: Alfred L. Mchele

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 5

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Familia Takatifu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tuliona Nyota Yake,

(tuliona Nyota Yake Mashariki, nasi tumekuja na zawadi kumsujudia bwana)×2

Beti

1. Nao walipoiona Ile Nyota, walifurahi furaha kubwa mno wakisema.

Tuliona.....................


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa