Ingia / Jisajili

Waipeleka Roho Yako

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Pentekoste | Zaburi

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 136 | Umetazamwa mara 396

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Pentekoste

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Waipeleka Roho yako Ee Bwana, nawe waufanya upya uso wa nchi. 1.Ee nafsi yangu umhimidi Bwana, Mungu wangu umejifanya mkuu sana; Ee Bwana, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Dunia imejaa mali zako. 2.Waiondoa pumzi yao, wanakufa, Na kuyarudia mavumbi yao, Waipeleka Roho yako, wanaumbwa Nawe waufanya upya uso wa nchi. 3.Utukufu wa Bwana na udumu milele; Bwana na ayafurahie matendo yake. Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Mimi nitamfurahia Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa