Ingia / Jisajili

Tumsifu Yesu Kristo

Mtunzi: Dr. Nicholas Azza
> Mfahamu Zaidi Dr. Nicholas Azza
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Nicholas Azza

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Nicholas Azza

Umepakuliwa mara 318 | Umetazamwa mara 1,336

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TUMSIFU YESU KRISTO 1. Tumsifu Yesu, tumwabudu Kristo. Tumsifu kwa huruma na subira yake, na upendo wake usio na kikomo. Kiitikio Tumsifu Yesu Kristo, milele na milele, amina. Tumsifu Yesu, tumsifu Kristo, milele na milele, amina, amina! 2. Mpigiene Bwana kelele za shangwe. Dunia yote mwabuduni Kristo. Njooni mbele zaka na nyimbo za shangwe. 3. Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu. Jueni yeye ndiye alituumba. Sisi tu mali yake, kondoo wa malisho yake. 4. Mshukuruni Bwana nakulisifu jina lake. Kwa maana Bwana ni mwema, na mwingi wa rehema, anatupenda!

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa