Ingia / Jisajili

Fumbo La Imani

Mtunzi: Dr. Nicholas Azza
> Mfahamu Zaidi Dr. Nicholas Azza
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Nicholas Azza

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Nicholas Azza

Umepakuliwa mara 349 | Umetazamwa mara 1,133

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
FUMBO LA IMANI (Ee Bwana) Bwana tunatangaza (tunatangaza), tunatangaza kifo chako (na kutukuza) na kutukuza ufufuko (ufufuko wako) wako mpaka unakapokuja (tunaamini hivyo!). (Ee Bwana) Bwana tunatangaza (tunatangaza), tunatangaza kifo chako (na kutukuza) na kutukuza ufufuko (ufufuko wako) wako mpaka unakapokuja (Ee Bwana!).

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa