Ingia / Jisajili

Mtakatifu (Misa Ya Mashahidi Wa Uganda)

Mtunzi: Dr. Nicholas Azza
> Mfahamu Zaidi Dr. Nicholas Azza
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Nicholas Azza

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Nicholas Azza

Umepakuliwa mara 369 | Umetazamwa mara 694

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MTAKATIFU (Misa Ya Mashahidi Wa Uganda) 1. Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu (Mtakatifu!) Bwana Mungu wa majeshi Mbinguna dunia zimejaa (zimejaa!), zimejaa utukufu wako. Hosana juu mbunguni, Hosana juu mbinguni. x2 2. Mbarikiwa anayekuja (Mbarikiwa!) kwa jina la Bwana. Mbarikiwa anayekuja (Mbarikiwa!) kwa jina la Bwana. Hosana juu mbunguni, Hosana juu mbinguni. x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa