Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 888 | Umetazamwa mara 4,481
Download Nota Download MidiTunakuabudu (Yesu) tunakutuza tunakusujudu pia tunakuheshimu
1. Ulitupenda sana mpaka ukatufia Yesu
2. Ulitwachia mwili na pia damu yako Yesu
3. Tukila mwili wako Roho zetu za shiba Yesu
4. Tukinywa damu yako kiu twaituliza Yesu
5. Wewe ndiye wokovu wa sisi binadamu Yesu