Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 5,921 | Umetazamwa mara 11,354
Download Nota Download MidiVIUZENI MLIVYONAVYO - F A NYUNDO
Viuzeni mlivyonavyo mkavitoe sadaka, kwakuwa mnajiwekea hazina yenu Mbinguni( ndugu) kwakuwa mnajiwekea Mbinguni
1. Rudisheni kwake Bwana ni mali yake viuzeni
2. Onyesheni moyo safi wa ukarimu viuzeni
3. Msidhani mnapoteza mlivyonavyo viuzeni
4. Mkitoa mtalipwa huko Mbinguni viuzeni
5. Yeye Mungu anaona mioyo yetu viuzeni.