Mtunzi: F. B. Mallya
> Tazama Nyimbo nyingine za F. B. Mallya
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: EXAVERY NGONYANI
Umepakuliwa mara 1,251 | Umetazamwa mara 4,318
Download NotaTunamshukuru Mungu Baba mwenyewzi kwa kuwajalia Bwana John na mama yetu Anuciata kwa kutimiza leo jubilee ya miaka hamsini ya ndoa yao x2
Twasema asante ee Mungu Baba tunakushukuru asante Mngu wetu x2
Tarehe mbili mwezi wa kumi na mbili ya mwaka elfu moja mia tisa na sitini na moja walifunga ndoa na leo ndoa hio imetimiza miaka hamsini hivyo nasi sote tuungane nao tukiimba kwa furaha kucheza kwa maringo tuwaombee maisha iliyofanaka kwa Mungu Baba Mwenyezi na Mungu Mwana Mwokozi pia Roho Mtakatifu awatie nguvu yake ili ikiwezekana siku moja tukutne katika jubilee ya miaka sabini na tano twaomba ee Mungu Baba AMINA