Ingia / Jisajili

Tutoe Sadaka

Mtunzi: Melchior Basil Syote
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchior Basil Syote

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 6,610 | Umetazamwa mara 13,491

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tutoe sadaka sadaka kwa Bwana x 2
Tutoe kwa sifa na utukufu wake, tumpe Mungu wetu Bwana muumba wetu x 2

  1. Twendeni kwa shangwe kutoa sadaka, tumtukuze Bwana aliyetuumba ulichonacho japo ni kidogo toa sadaka Ee ndugu toa.
     
  2. Tutoe sadaka tumshukuru Bwana; Mpaji wa uzima maishani mwetu Toa kwa moyo uache uchoyo Toa sadaka Ee ndugu toa.
     
  3. Tunakutolea mkate na divai Ni fumbo la mwili na damu ya kristu Na utuunganishe na sadaka Ya Yesu kristu Ee Mungu Baba

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa