Ingia / Jisajili

KWA AJILI YETU

Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: FINIAS MKULIA

Umepakuliwa mara 152 | Umetazamwa mara 538

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 33 Mwaka C
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka A
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka B
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka C
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)
- Katikati Dominika ya 17 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka B
- Katikati Epifania
- Katikati Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Usiku)
- Shangilio Kuzaliwa kwa Bwana (Mkesha)
- Antifona / Komunio Pentekoste
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Alfajiri)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:-

Kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto, mtoto mwana Mume nauweza wa kifalme utakuwa mabegani mwake X 2

MASHARI

  1. 1.Jina lake Emanuel yaani Mungu pamoja nasi, Mfalme wa ajabu ni masiha mwana wake Mungu.
  2. Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa sababu ametenda mabo ya ajabu, ametenda mambo ya ajabu
  3. Amezikumbuka rehema zake na uaminifu wake,kwa nyumba yake nyumba yake Israeli.
  4. Mwimbieni Bwana libarikini jina la Bwana, tangazeni wokovu wake, wokovu wake siku kwa siku.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa