Ingia / Jisajili

ROHO YA BWANA

Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: FINIAS MKULIA

Umepakuliwa mara 181 | Umetazamwa mara 838

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO:- Roho ya Bwana, imeujaza ulimwengu, nayo inaviunganisha vitu vyote, hujua maana ya kila sauti aleluya. MASHAIRI:- 1.Bwana ainuka, maadui zake watawanyika,nao wenye kumchukia wakimbia mbali na uso wake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa