Ingia / Jisajili

Twazileta Kwa Furaha

Mtunzi: Dr. Nicholas Azza
> Mfahamu Zaidi Dr. Nicholas Azza
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Nicholas Azza

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Nicholas Azza

Umepakuliwa mara 299 | Umetazamwa mara 667

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TWAZILETA KWA FURAHA 1. Ee Mungu Baba tunakuja kwako, twaleta sadaka zetu mbele yako. Uyabariki matoleo yetu, yote haya ani mali yako. Kitikio Twazileta kwa furaha, twazileta kwa unyenyekevu. Twakuomba uzipokee, twakuomba zikakupendeze. 2. Ee Mungu Baba tunakutolea sadaka ya mkate na divai Mazao ya mashamba, na kazi ya mikono yetu wanadamu. 3. Ee Mungu Baba tunakutolea sadaka ya fedha zetu. Mapato yetu kutokana na kazi tunayofanya. 4. Ee Mungu Baba tunakutolea sadaka ya nafsi zetu, Furaha zetu na huzuni zetu zote, Baba, twakuletea.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa