Ingia / Jisajili

Twendeni Tukamwone

Mtunzi: Silvery Elias
> Mfahamu Zaidi Silvery Elias
> Tazama Nyimbo nyingine za Silvery Elias

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: SILVERY ELIAS

Umepakuliwa mara 139 | Umetazamwa mara 215

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TWENDENI TUKAMWONE Leo hii kazaliwa mtoto mwanaume, ndiye kristu Bwana mkombozi wetu. Mungu baba ameitimiza ahadi yake,ya kwamba angetuletea mkombozi. (Twendeni twendeni twendeni tukamwone, mwokozi wetu leo ameshuka kwetu)* 2 MABETI 1.Masiha kazaliwa Bethlehemu pangoni,twendeni kwa unyenyekevu na zawadi zetu 2.Tuifuate ile nyota ya mashariki,kama walivyoifuata kina mamajusi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa