Ingia / Jisajili

Umefika Wakati

Mtunzi: Silvery Elias
> Mfahamu Zaidi Silvery Elias
> Tazama Nyimbo nyingine za Silvery Elias

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: SILVERY ELIAS

Umepakuliwa mara 71 | Umetazamwa mara 101

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Inuka ee ndugu ukatoe sadaka yako) umefika wakati wa kumtolea Mungu wetu, ulichokiandaa kama zawadi yako kwake, ukamtolee kwa moyo mkunjufu,akuzidishie baraka zake kuu 1.Mazao ya shamba na pesa za mifukoni, nayo mifugo nenda ukamtolee 2.Hata moyo wako kamtolee Mungu, ataujaza rehema zake tukufu 3.Pia shida zako zipeleke kwa Bwanaatakupokea na kukusaidia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa