Ingia / Jisajili

Waipeleka Roho

Mtunzi: Silvery Elias
> Mfahamu Zaidi Silvery Elias
> Tazama Nyimbo nyingine za Silvery Elias

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: SILVERY ELIAS

Umepakuliwa mara 91 | Umetazamwa mara 132

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
waipeleka roho yako ee bwana nawe waufanya upya uso wa nchi x2 1.Njoo roho mtakatifu uijaze nyoyo ya waamini uwashe ndani yao upendo wako 2.Ee nafsi yangu umhimidi bwana wewe Mungu wangu umejifanya kuwa mkuu sana 3.Ee bwana mungu wangu jinsi yalivyo mengi matendo yako na dunia imejaa mali yako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa