Mtunzi: Emmanuel J. Kafumu
> Mfahamu Zaidi Emmanuel J. Kafumu
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel J. Kafumu
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Emmanuel Kafumu
Umepakuliwa mara 755 | Umetazamwa mara 2,675
Download NotaKiitikio:
Ukipenda tunda, penda na ua lake penda na ua lake x2
kama wampenda Yesu Kristu, wampenda na Maria, unapenda tunda pamoja na ua lake x2
Mashairi:
1. Mama Maria ameshiriki safari ya ukombozi wetu, nampenda Yesu pamoja na mama yake
2. Mama Maria ni mama wa Yesu na Yesu Kristu mwana wa Maria, nampenda Yesu pamoja na mama yake.
3. Ninampenda mama maria ninampenda na Yesu Kristu, nampenda Yesu pamoja na mama yake.