Ingia / Jisajili

Ufurahi Moyo Wao

Mtunzi: Emmanuel J. Kafumu
> Mfahamu Zaidi Emmanuel J. Kafumu
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel J. Kafumu

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 1,614 | Umetazamwa mara 4,628

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ufurahi moyo wao, ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana wamtafutao Bwana x 2
Mtakeni Bwana mtakeni na nguvu zake utafuteni uso wake siku zote x 2

  1. Zikumbukeni ajabu zake alizozifanya, miujiza yake na hukumu za kinywa chake.
     
  2. Enyi wazawa wa Ibrahimu mtumishi wake, enyi wana wa Yakobo wateule wake.
     
  3. Yeye Bwana ndiye Mungu wetu duniani mwote, duniani mwote mna hukumu zake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa