Mtunzi: Vitalis J. Mwinyi
> Mfahamu Zaidi Vitalis J. Mwinyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Vitalis J. Mwinyi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: VITALIS MWINYI
Umepakuliwa mara 315 | Umetazamwa mara 1,599
Download NotaKiitikio
Ninaishi katika Imani, imani ya Mwana wa Mtu x2.
Ambaye alinipenda akajitoa nafsi yake kwa ajili yangu kwa ajili yangu. x2
Mashairi
1. Siibatili neema ya Mungu, maana ikiwa haki hupatikana kwa sheria, basi Kristo alikufa bure
2. Nimesulibiwa pamoja na Kristo, wala si mimi tena bali Kristo
3. Mtu yeyote atakayefanya mapenzi ya Mungu ndiye ndugu yangu