Mtunzi: Vitalis J. Mwinyi
> Mfahamu Zaidi Vitalis J. Mwinyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Vitalis J. Mwinyi
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: VITALIS MWINYI
Umepakuliwa mara 1,046 | Umetazamwa mara 3,360
Download Nota Download MidiKiitikio
Mwangaza utatung'aria leo. Kwa maana Mwana amezaliwa kwetu, Mwana amezaliwa kwetu
Mashairi
1. Bwana ametamalaki, nchi na ishangilie, visiwa vingi na vifurahi
2. Mbingu zimetangaza haki yake, na watu wote wameuona utukufu wake
3. Nuru imemzukia mwenye haki, na furaha wanyofu wa moyo
4. Enyi wenye haki mfurahieni Bwana, na kulishukuru jina lake Takatifu