Ingia / Jisajili

Katika Hili Tumelifahamu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Ndoa

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 390 | Umetazamwa mara 1,298

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 26 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 26 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 26 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Katika hili tumelifahamu pendo la Mungu kwa kuwa yeye aliutoa uhai wake kwa ajili yetu (imetupasa na sisi imetupasa na sisi kuutoa uhai wetu kwa ajili ya hao ndugu) X2

1. Tazameni ni pendo pendo la namna gani alilotupa Baba kwamba tuitwe wana wa Mungu na ndivyo tulivyo

2. Katika hili tutafahamu ya kwamba tu wa kweli nasi tutaituliza mioyo yetu mbele zake

3. Ndugu zangu msistaajabu ulimwengu ukiwachukia twajua ya kuwa tumepita toka mautini kuingia uzimani maana tunawapenda ndugu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa