Ingia / Jisajili

Ahimidiwe Mungu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,716 | Umetazamwa mara 2,823

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka A
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka B
- Mwanzo Utatu Mtakatifu Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ahimidiwe Mungu Baba na Mwanawe pekee na Roho Mtakatifu X2

Kwa sababu ametutendea ametutendea kwa sababu ametutendea ametutendea rehema rehema yake X2

1. Ahimidiwe Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo aliyetubariki sisi kwa baraka zote za rohoni katika ulimwengu wa roho ndani ya Kristo

2. Kwa maana alituchagua alituchagua katika yeye kabla ya kuumbwa ulimwengu ili tuwe watakatifu na bila lawama mbele zake mbele zake

3. Kwa upendo alitangulia kutuchagua tuwe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo kwa furaha furaha yake na mapenzi mapenzi yake mwenyewe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa