Ingia / Jisajili

Nitakipokea Kikombe Cha Wokovu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 1,185 | Umetazamwa mara 3,077

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina jina la Bwana X2

1. Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea

2. Nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina jina la Bwana

3. Ina thamani machoni pa Bwana mauti ya wacha Mungu wacha Mungu wake

4. Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako umevifungua vifungo vifungo vyangu

5. Nitakutolea dhabihu ya kushukuru na kulitangaza jina jina la Bwana

6. Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana naam mbele ya watu wake wote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa