Ingia / Jisajili

Uniangalie Na Kunifadhili

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,946 | Umetazamwa mara 8,675

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Uniangalie na kunifadhili Ee Bwana maana mimi ni mkiwa na mteswa x 2
Utazame teso langu, Utazame teso langu na taabu yangu unisamehe zambi zangu x 2
Unisamehe zambi zangu zote Ee Mungu wangu.

  1. Macho yangu humwelekea bwana daima naye atanitoa miguu yangu uniangalie na kunifadhili maana mimi ni mkiwa na mteswa.
     
  2. Katika shida za moyo wangu nifanyie nafasi nakunitoa katika dhiki zangu, utazame teso langu na taabu yangu unisamehe dhambi zangu zote.
     
  3. Unilinde nafsi yangu na kuniponya siaibike kwa maana nakukimbilia wewe, ukamilifu na unyofu vinihimafadhi maana nakungoja wewe.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa