Ingia / Jisajili

Nitakushukuru (Zab 138)

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 10,405 | Umetazamwa mara 19,188

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, (mbele ya) mbele ya miungu nitakuimbia zaburi x 2
Nitakusujudu nikilikabili hekalu lako takatifu nitalishukuru jina lako x 2 

  1. Nitalishukuru jina lake Ee Bwana, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako.
     
  2. Kwa maana umekuza ahadi yako kuliko jina jina lako. 
     
  3. Siku ili niliyokuita uliniitikia, ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu. 
     
  4. Ee Bwana wafalme wote wa dunia watakushukuru, watakapoyasikia maneno ya kinywa chako. 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa